Loading...

KIMENUKA TENA: RAIS MAGUFULI AUWASHA MOTO TENA KWA TAASISI YA HAKI ZA BINADAMU NA KUTOA ONYO KALI NA KUAMUA KUWAVAA NA KUWATUMBUA NAO HADHARANI

▼▼▼TO SEE PHOTOS AND THE VIDEO CLICK HERE DOWN▼▼▼


Katika hali inayoonyesha kuwa na majibizano kati ya Rais Magufuli na Kituo Cha Haki za Binadamu LHRC kinachoongozwa na Dr. Hellen Kijo Bisimba, leo Rais Magufuli hadharani kasema wanaosema amekiuka haki za binadamu kumsimamisha ndugu Kabwe hadharani walitakiwa pia waseme vivyo hivyo kipindi anamuapisha hadharani kwa kuwa ni mteule wake, Amesema hao Waliotumbuliwa wamewaibia Watanzania hadharani hivyo inabidi watumbuliwe hadharani nao wapate maumivu kama waliyoyapata Watanzania...Hivyo, ni vyema wakaiacha serikali ikafanya kazi yake, na ikiwezekana itabidi awachunguze hao LHRC credibility yao kama wanatetea mambo maovu inawezekana nao ni majipu..

Mtazame Hapa Alivyokuwa anamwaga cheche:



Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright bongonews | Designed By JAMIIYETUBONGO.COM
Back To Top