Loading...

HABARI ZA HIVI PUNDE: BAADA YA UKAWA KUPATA PIGO LA SAED KUBENEA KUHUKUMIWA VIBAYA HUKU MWANASIASA WA UPINZANI AUAWA KWA KUPIGWA RISASI

▼▼▼TO SEE PHOTOS AND THE VIDEO CLICK HERE DOWN▼▼▼



Mwanasiasa wa upinzani ameuawa kwa kupigwa risasi nje ya nyumba yake katika mji mkuu wa Kenya Nairobi.

Stephene Mukabana ambaye ni kiongozi wa vijana wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM), aliuawa usiku wa jana wakati alienda kumsaidia mtu mmoja aliyekuwa akiporwa na kundi la watu sita kwa mujibu wa gazeti la Standard nchini humo.

Pia gazeti la Standard lilimnukuu gavana wa Nairobi Evans Kidero akisema kuwa kundi la wauaji limfuata na kumuua mwanasiasa huyo wa umri wa miaka 42.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright bongonews | Designed By JAMIIYETUBONGO.COM
Back To Top