Loading...

BREAKING NEWS: HABARI NZITO MTANGAZAJI MAARUFU DUNIANI "SALIM KIKEKE" AOMBA RADHI BAADA YA KUKUTWA NA TUKIO HILI

▼▼▼TO SEE PHOTOS AND THE VIDEO CLICK HERE DOWN▼▼▼




Kikeke
Salim KIKeke si jina geni hasa ukanda wa Afrika Mashariki. Ni Mtanzania anayetangaza vipindi mbalimbali katika shirika la Habari la Uingereza (BBC) na mshindi wa mara mbili kwenye Tuzo za Watu kama mtangazaji wa runinga anayependwa.



Kupitia ukurasa wake wa Facebook , alim amewajulisha mashabiki wake kuwa yupo katika likizo ya kulea (paternity leave) hii ni kutokana na kupata mtoto wa kiume anayeitwa Ioan (Yoan) Issa Kikeke. Aliulizwa maana ya jina hilo la mtoto wake wa kiume na kudai ni: Zawadi kutoka kwa Mungu.”
Huyu anakuwa ni mtoto wake wa pili.
Na hivi ndivyo alivyoandika kwenye Facebook:
Asanteni sana kwa salaam zenu. Bado niko kwenye likizo ya uzazi. Naomba radhi kwa wasanii wachanga kwa kushindwa kurusha kazi zenu kwa muda sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu, hali kadhalika kwa mashabiki wa habari mbalimbali za ulimwengu pamoja na za michezo kumekuwa kimya kidogo lakini msiwe na shaka tutaendelea hivi karibuni. Nichukue nafasi hii pia kuwatambulisha kwa bwana mdogo Ioan (Yoan) Issa Kikeke. Kwa mapenzi yake Mola nitarejea kazini mwisho wa mwezi huu wa Aprili. Shukran sana na Mwenyezi Mungu awabariki sana

CHANZO na Bongo5


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright bongonews | Designed By JAMIIYETUBONGO.COM
Back To Top