Loading...

from mwanza today

▼▼▼TO SEE PHOTOS AND THE VIDEO CLICK HERE DOWN▼▼▼


Leo April 8, 2016, Mahakama kuu kanda ya Mwanza imetangaza maamuzi ya kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge iliyofunguliwa na Ezekiel Wenje tangu 25.11.2015, aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana kutaka Mahakama kupitia upya mchakato wa kujumlisha Matokeo ya Uchaguzi Mkuu October 2015 kati yake na Mbunge wa sasaStanslaus Mabula, Shauri hilo lililokuwa linasikilizwa na Jaji Kakusuro Sambo kwenye Mahakama Kuu kanda ya Mwanza.
Image00011

Image00010

Image00001

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright bongonews | Designed By JAMIIYETUBONGO.COM
Back To Top