Loading...

BREAKING NEWS: ALIYEKUWA WAZIRI MKUU MSTAAFU "SUMAYE" AWA KINARA MITANDAONI BAADA YA KUFUNGUKA MANENO MAZITO KWA RAIS MAGUFULI KWA TUKIO HILI LILILOTOKEA SIKU ZA USONI

▼▼▼TO SEE PHOTOS AND THE VIDEO CLICK HERE DOWN▼▼▼


 https://scontent-mad1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xaf1/v/t1.0-9/13012819_1520878794888391_7663677203415175149_n.jpg?oh=0cf08981fe7f0557b1f407240a3c4136&oe=578440AF

SUMAYE
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye alisema Kilango hakuwa na hatia kiasi hicho kwa sababu bado hajaujua vizuri mkoa huo.
“Ukweli haiwezekani RC asimamie jambo hilo muda mfupi na hata akipewa miezi sita akakague watu hao ‘physically’ bado haitoshi.
“Kama aliletewa taarifa kuwa kuna watumishi hewa na yeye akasema hakuna…hapo kuna tatizo. Lakini ndio hivyo kila mtu na utawala wake, kumwajibisha mtu ambaye hata huo mkoa na ofisi hajaijua vizuri kwa kweli inasikitisha. Hii haijapata kutokea popote na si kitu cha kawaida,”alisema Sumaye.


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright bongonews | Designed By JAMIIYETUBONGO.COM
Back To Top