▼▼▼TO SEE PHOTOS AND THE VIDEO CLICK HERE DOWN▼▼▼
Amesema mke wake hakumtukana askari aitwaye Deogratias Mbando bali walipishana. “Nilifuatilia suala hili, walitofautiana tu kauli. Mama hakutukana” alisema. Hata hivyo alisema suala hilo limeisha na asingependa kuendeleza malumbano hayo
Chanzo: Mtanzania
Post a Comment