▼▼▼TO SEE PHOTOS AND THE VIDEO CLICK HERE DOWN▼▼▼
Mkutano wa tatu, kikao cha sita umeendelea tena leo April 28 2016 bungeni Dodoma, Katika kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Mkuu Mbunge wa Ukonga, Dar es salaam Mwita Waitara kamuuliza swali Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu barabara zisizo na kiwango na kusababisha mafuriko katika kipindi cha mvua.
Waziri Mkuu Majaliwa katolea ufafanuzi kwenye hii Video hapa chini..
Post a Comment