Loading...

PICHA 5: HIVI NDIVYO REFA LEO ALIVYOPASULIWA KICHWANI NA MASHABIKI WA COAST UNION WAKICHEZA NA YANGA, ASKARI WATEMBEZA KICHAPO

▼▼▼TO SEE PHOTOS AND THE VIDEO CLICK HERE DOWN▼▼▼



Mchezo wa nusu fainali ya Azam Sports Federation Cup (FA Cup) kati ya Coastal Union dhidi ya Yanga umeshindwa kumalizika kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani Tanga kutokana vurugu za mashabiki. Mwamuzi wa pambano hilo alilazimika kulivunja pambano hilo likiwa kwenye dakika 30 za nyongeza baada ya dakika 90 za kawaida kumalizika huku timu hizo zikiwa sare kwa kufungana goli 1-1. Hadi mchezo huo unavunjwa na mwamuzi, Yanga walikuwa wanaongoza kwa magoli 2-1. Coastal Union walikuwa wa kwanza kupata goli la kuongoza lililofungwa na Sabo dakika ya 54 kipindi cha pili lakini Ngoma akaisawazishia Yanga kabla ya Tambwe kuiweka mbele Yanga kwa goli la dakika za nyongeza kabla ya mchezo kuvunjwa. TFF inasubiriwa kutoa muongozo juu ya mchezo huo ambao dakika zake 120 hazikumalizika

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright bongonews | Designed By JAMIIYETUBONGO.COM
Back To Top