Loading...

HABARI ZA USIKU HUU: TETESI...ANNE KILANGO MALECHELA ANATISHA ALAMBA SHAVU NONOO TENA TENA LA MAJUU, WALIOMZOMEA SASA WAUMBUKA

▼▼▼TO SEE PHOTOS AND THE VIDEO CLICK HERE DOWN▼▼▼



Mh Anne Kilango Maleccela anasubiri kupangiwa kazi nyingine na Rais Dr Magufuli na huenda akapangiwa kazi nzuri zaidi ya kazi yake ya awali ya Ukuu wa Mkoa.

Kuna baadhi ya taarifa zinasema kwamba huenda akateuliwa kuwa balozi katika mojawapo ya nchi za ng’ambo.

Ofisa mmoja wa Ikulu ambaye hakupenda kutajwa jina lake alinukuliwa akisema kuwa “Rais Magufuli anajiandaa kumpangia Kilango kazi nyingine na kuna uwezekano mkubwa akateuliwa kuwa balozi katika nchi za Ulaya, Marekani au Asia”, alisema.

CHANZO: Gazeti la ZANZIBAR YETU

HABARI MPYA: WALIOFUMANIWA HUKU WAKIWA WAMEUNGANA LEO WAMENASULIWA>>>SHUHUDIA HAPA

MAONI YANGU

Rais Maguguli anajua sana kucheza na akili za watanzania. Staili yake ya utumbuaji majipu imenjengea umaarufu kwa wananchi kiasi kwamba kila jambo analofanya, liwe zuri au baya, wananchi hushabikia tu kama jongoo pasipo kuelewa mantiki na manufaa yake kwa umma wa watanzania.

Wakati watanzania wanamshabikia Magufuli kwa kutumbua JIPU kumbe ndio kwanza anafikiria kulipangia JIPU kazi nzuri na ya heshima zaidi ya Ukuu wa Mkoa. Nchi hii haiishi vituko.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright bongonews | Designed By JAMIIYETUBONGO.COM
Back To Top