▼▼▼TO SEE PHOTOS AND THE VIDEO CLICK HERE DOWN▼▼▼
Staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ akiwa ofisini picha ndogo kulia kukiwa na fuvu katika ofisini kwake.
Sifael Paul na Musa Mateja,
Risasi Jumamosi
Dar es Salaam: Wakati mwenyewe akikanusha vikali kwamba hatumii ndumba kwenye muziki wake ambao sasa umemfikisha mbali kimataifa, staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’, ameshikwa uchawi kufuatia kukutwa laivu kwa fuvu linalodaiwa ni la binadamu ndani ya ofisi zake.

TUJIUNGE OFISINI KWA DIAMOND
Mapema wiki hii, vyanzo mbalimbali ambavyo ni wageni waliofika kwenye ofisi za mkurugenzi huyo wa Kampuni ya Wasafi Classic Baby (WCB), Diamond au Mond zilizopo Mapambano-Sinza jijini Dar, vilitonya kuwa, wengi walishtushwa na fuvu hilo baada ya kuliona mezani kwa mwanamuziki huyo.

2 comments
Duh napita tu je ni kweli?
ReplyDuh napita tu je ni kweli?
ReplyPost a Comment