▼▼▼TO SEE PHOTOS AND THE VIDEO CLICK HERE DOWN▼▼▼
WATUMISHI HEWA NI 2094 NA JUMLA YA HASARA YA MILIONI 3063.9 NI SAWA NA BILIONI 3.0639
Meatu/Singida. Vita ya watumishi hewa inayoendelea nchini imempandisha kizimbani, Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Imani Nyamangaro jana akidaiwa kujilipa mishahara ya wastaafu 57 yenye thamani ya Sh29.4 milioni wakati huko Meatu, mkoani Simiyu mtumishi aliyefariki mwaka 2012 ameendelea kulipwa zaidi ya 21 milioni.
Mbali na matukio hayo, huko Mwanza imebainika kwamba watumishi hao hewa wamekuwa ‘wakikopa’ fedha kwenye taasisi mbalimbali za fedha.
Mhasibu kujilipa mishahara ya wastaafu
Post a Comment