Loading...

HABARI NZITO: WAZIRI WA NCHI KATIKA OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA "SIMBACHAWENE" NAYE ACHARUKA NA KUAMUA KUVUNJA BODI YA SOKO AKIWA KATIKA MKUTANO WA JWT

▼▼▼TO SEE PHOTOS AND THE VIDEO CLICK HERE DOWN▼▼▼






Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene amevunja bodi ya Soko la Machinga Complex lililopo Ilala Mchikini Dar es Salaam na kulikabidhi kwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.
Akizungumza leo katika mkutano wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini (JWT), Simbachawene amesema wazo la kuanzishwa kwa soko hilo lilikuwa zuri lakini Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeshindwa kulitekeleza.
Jengo hilo lilikamilika kujengwa mwaka 2010 likiwa na uwezo wa kuchukua wafanyabiashara 4206, lakini Waziri Simbachawene alisema limeishia kuwa makazi ya popo

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright bongonews | Designed By JAMIIYETUBONGO.COM
Back To Top