Loading...

BREAKING NEWS: CCM YAPATA PIGO HUKO ARUSHA KUTOKA KWA CHADEMA BAADA YA MKURUGENZI WA HALIMASHAURI YA KARATU KAMUA HAYA ......

▼▼▼TO SEE PHOTOS AND THE VIDEO CLICK HERE DOWN▼▼▼





MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Arusha, Michael Lekule Laizer amemuonya Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Karatu, Mosses Mabula kushiriki vitendo vya hujuma katika halmashauri hiyo.

Baadhi ya hujuma hizo zinazodaiwa kufanywa na halmashauri hiyo inayoongozwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ni pamoja na kuzinyima miradi kata zinazoongozwa na madiwani wa CCM.

Laizer ametoa tahadhari hiyo mjini hapa  katika kata ya Mangola Barazani alipokuwa akizungumza katika mkutano wa ndani na viongozi wa chama wa ngazi za matawi na kata kuhusu kero mbalimbali za wananchi wa kata hiyo.

Mwenyekiti huyo alifikia hatua hiyo baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa diwani wa kata hiyo kupitia CCM, Lazaro Emanuel.

Emanuel alisema kwa kipindi kirefu tangu ameingia madarakani amekuwa akikosa ushirikiano kutoka kwa uongozi wa halmashauri hiyo akiwepo pia mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Mabula na hadi sasa hajakubaliwa ombi la mradi hata mmoja.


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright bongonews | Designed By JAMIIYETUBONGO.COM
Back To Top